Isaiah 32:8


8 aLakini mtu muungwana hufanya mipango ya kiungwana,
na kwa matendo ya kiungwana yeye hufanikiwa.
Copyright information for SwhKC